Thursday, August 16, 2012

MFUKO WA AKIBA YA WAFANYAKAZI SERIKALINI (GEPF) WAFUTURISHA WAGONJWA WA SARATANI


 Mkurugenzi Uendeshaji wa Mfuko wa Akiba ya Wafanyakazi  Serikalini (GEPF), Anselim Peter akitoa pole kwa wagonjwa katika Taasisi ya Saratani Ocean Road jijini Dar es Salaam wakati wafanyakazi wa mfuko huo waliposhiriki futari na wagonjwa waliolazwa katika taasisi hiyo. Kushoto ni Meneja Masoko wa Mfuko huo, Aloyce Ntukamazina
 Mkurugenzi Uendeshaji wa Mfuko wa Akiba ya Wafanyakazi  Serikalini (GEPF), Anselim Peter akiandaa futari.
 Meneja Masoko wa Mfuko huo, Aloyce Ntukamazina akimpa futari mmoja wa wagonjwa waliolazwa katika Taasisi ya Saratani Ocean Road.
 Mkurugenzi Uendeshaji wa Mfuko wa Akiba ya Wafanyakazi  Serikalini (GEPF), Anselim Peter
 Baadhi ya wagonjwa wakipata futari.
Mkurugenzi Uendeshaji wa Mfuko wa Akiba ya Wafanyakazi  Serikalini (GEPF), Anselim Peter pamoja na Menja Masoko wa mfuko huo, Aloyce Ntukamazina kulia wakishiriki futari pamoja na wagonjwa waliolazwa katika Taasisi ya Saratani Ocean Road jijini Dar es Salaam.

No comments:

Post a Comment