Thursday, August 16, 2012

SIMBA YATAMBULISHA VIFAA VYAKE, YAIFUNGA AZAM 2-1


 Wachezaji wa timu ya Simba wakishangilia goli la kwanza lililofungwa na mshambuliaji Rashid Ismail kwenye mchezo wa nusu fainali ya sup8r uwanja wa Taifa dhidi ya Azam. Simba ilishinda 2-1 na kuingia fainali ya michuano hayo itakayofanyika Agost 18 kwa kuzikutanisha timu za Mtibwa Sugar na Simba.Mtibwa Sugar imeingia hatua ya fainali baada ya kuifunga Jamhuri ya Zanzibar 5-1

Mwenyekiti wa Kamati ya Usajili ya klabu ya Simba, Zakaria Hanspop akikabidhi jezi namba 5 mchezaji mpya wa klabu hiyo,Paschal Ochieng. Katikati ni Makamu Mwenekiti wa Simba, Geofrey Nyane 'Kaburu'
Mwenyekiti wa Kamati ya Usajili ya klabu ya Simba, Zakaria Hanspop akikabidhi jezi namba 13 mchezaji mpya wa klabu hiyo, Daniel Akuffo.

No comments:

Post a Comment