Thursday, August 16, 2012

WAREMBO WATAKAO SHIRIKI REDD'S MISS TANZANIA WATAMBULISHWA LEO


Mratibu wa Shindano la Redd's Miss Ilala 2012,Gadner G. Habash akizungumza na waandishi wa Habari (hawapo pichani) kwenye ukumbi wa Nyumbani Lounge mchana huu wakati wa kutambulisha warembo watakaoshiriki kwenye fainali ya Redd's Miss Ilala 2012.washindi watafanikiwa kuingia moja kwa moja kwenye fainali ya Redd's Miss Tanzania 2012.Wengine Pichani toka Kulia ni Mratibu Mwenza wa Shindano hilo,Juma Mabakila,Cylivia Mashuda na Neema Mbula ambao ni walimu wa warembo hao.
Baadhi ya warembo watakaoshiriki Shindano la Redd's Miss Ilala wakiwa kwenye kikao hicho.
Warembo katika picha ya Pamoja.

No comments:

Post a Comment