Wednesday, August 15, 2012

BONDIA RASHIDI MATUMLA AJIFUA KWA KINYOGOLI KWA AJILI YA MPAMBANO WA IDI MOSI DAR LIVE

Kocha  Mkongwe wa mchezo wa Masumbwi nchini  Habibu Kinyogoli 'kushoto' akimfua bondia Rashidi Matumla wakati wa mazoezi yanayoendelea katika kambi ya Ilala Matumla anajiandaa na kupambana na Maneno Osward siku ya Idi mosi litakalofanyika katika ukumbi wa Dar Live .picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com

Bondia Rashid Matumla 'kushoto' akinolewa na kocha mkongwe wa mchezo wa ngumi Habibu Kinyogoli Masta wakati wa mazoezi yanayoendelea katika kambi ya Ilala Matumla anajiandaa kupambana na Maneno Osward siku ya Idi Mosi katika ukumbi wa Dar live .picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com

No comments:

Post a Comment