Wednesday, August 15, 2012

Kikosi cha Olympic charejea nchini kichwa chini, Viongozi wasema michezo ya sasa inaendeshwa Kisayansi zaidi, lamsingi ni kujipanga tena kisayansi na sio kwa mazoea.





Mwakilishi wa Tanzania kwenye mchezo wa kuogelea Magdalena Moshi akilakiwa na bibiyake mara baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam leo jioni, mara baada ya wawakilishi hao watanzania kurejea nchini bila medali yeyote.

Katibu Mkuu wa Shirikisho la ngumi Tanzania (BFT)Makore Mashaga akisalimiana na baadhi ya wawakilishi wa Tanzania kwenye michezo ya Olimpiki mara baada ya kuwasili nchini.
Mwakilishi wa Mchezo wa Ngumi Selemani Kidunda.
Wawakilishi wa Mchezo wa kuogelea Amal (mbele) Gadiale na Magdalena Moshi wakiwasili.
Rais wa Kamati ya Olimpiki Tanzania TOC Filbert Bayi (katikati), akibadilishana mawazo na Mkurugenzi wa Michezo nchini Leonard Tadeo ambae alifika kuwapokea uwanjani hapo

No comments:

Post a Comment