Wednesday, August 15, 2012

SUPER D AWAKUMBUKA TX MOSHI WILIAMU NA SELEMANI MBWEBWE


Msemaji wa Bendi ya Msondo Ngoma Music Band  Rajabu Mhamila 'Super D' kushoto akiwa katika picha ya pamoja na  marehemu TX Moshi Wiliamu kipindi cha uai wake nae akiwa kama mshabika kabla ya kupewa cheo alichonacho ndani ya Msondo ngoma kuelekea  sikukuu ya Idi mosi ambapo watakutana na wakongwe wenzao Ocherster Sikinde kwa ajili ya mpambano wao utakaofanyika jijini Dar es salaam kwa wapenzi.picha na www.burudan.blogspot.com
Msanii wa mziki wa Dance ambaye ni Marehemu Selemani Mbwembwe enzi za uai wake akiimbia bendi ya Msondo .picha na www.burudan.blogspot.com
Msemaji wa Bendi ya Msondo Ngoma Music Band  Rajabu Mhamila 'Super D' kushoto akiwa katika picha ya pamoja na  marehemu TX Moshi Wiliamu kipindi cha uai wake nae akiwa kama mshabika kabla ya kupewa cheo alichonacho ndani ya Msondo ngoma kulia kuelekea  sikukuu ya Idi mosi ambapo watakutana na wakongwe wenzao Ocherster Sikinde kwa ajili ya mpambano wao utakaofanyika jijini Dar es salaam kwa.picha na www.burudan.blogspot.com

No comments:

Post a Comment