Baadhi
ya wakazi wa kijiji cha Ruaha katika jimbo la Ulanga Mashariki mkoani
Morogoro, wakinunua kadi za Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA),
mara baada ya mkutano wa hadhara wa Katibu Mkuu wa chama hicho, Dk.
Willibrod Slaa, ukiwa ni mwendelezo wa kampeni za Operesheni Sangara.
(Picha na Joseph Senga)
Wakaziwa
mji wa Lupiro katika jimbo la Ulanga Magharibi wakiitikia kibwagizo cha
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) cha Poeples Power, wakati
wa mkutano wa hadhara wa Katibu Mkuu wa chama hicho, Dk. Willibrod Slaa,
juzi. (Picha na Joseph Senga)
No comments:
Post a Comment