Saturday, August 11, 2012

CHADEMA YAFANYA MKUTANO WAKE RUAHA


Baadhi ya wakazi wa kijiji cha Ruaha katika jimbo la Ulanga Mashariki mkoani Morogoro, wakinunua kadi za Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), mara baada ya mkutano wa hadhara wa Katibu Mkuu wa chama hicho, Dk. Willibrod Slaa, ukiwa ni mwendelezo wa kampeni za Operesheni Sangara. (Picha na Joseph Senga)
Wakaziwa mji wa Lupiro katika jimbo la Ulanga Magharibi wakiitikia kibwagizo cha Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) cha Poeples Power, wakati wa mkutano wa hadhara wa Katibu Mkuu wa chama hicho, Dk. Willibrod Slaa, juzi. (Picha na Joseph Senga)

No comments:

Post a Comment