Saturday, August 25, 2012

GRAND MALT YATOA VIFAA VYA MICHEZO ZANZIBAR



 Machano Othman Said-Waziri asie na wizara maalum SMZakimkabidhi vifaa vya kutumia kwenye ligi kuu ya Grandmalt zanzibar mwakilishi wa timu ya Jamhuri ya Pemba kulia ni Meneja masoko wa Grandmalt Fimbo Bittala na makamu wa Rais wa ZFA Ally Mohamed
 Machano Othman Said-Waziri asie na wizara maalum SMZakimkabidhi vifaa vya kutumia kwenye ligi kuu ya Grandmalt zanzibar mwakilishi wa timu ya Falcon  ya Pemba kulia ni Meneja masoko wa Grandmalt Fimbo Bittala na makamu wa Rais wa ZFA Ally Mohamed –Timu za Falcon na Jamhuri zitapambana kwenye mchezo wa Ngao ya Hisani jumamosi 01/09/2012 usiku katika uwanja wa amani

No comments:

Post a Comment