Friday, August 24, 2012

HASHEEM THABEET NA NYOTA WENZAKE WA NBA WATOA MAFUNZO YA KIKAPU DAR


NYOTA wa mpira wa kikapu kutoka Marekani, Hasheem Thabeet Mtanzania anayehezea Oklahoma City, Luol Deng Muingereza mwenye asili ya Sudan Kusini, anayechezea Chicago Bulls leo wameendesha programu ya kliniki kusaka vipaji vya mpira wa kikapu kwa wanafunzi wa shule za sekondari za Dar es Salaam kwenye viwanja vyta Don Bosco, Upanga.
Kliniki hiyo ilihudhuria na nyota wengine wa NBA, akiwemo Adam Andre, Masai Ujiri, mmiliiki na Meneja wa timu ya Denver Nuggets, Amadaou Gall Fall na Kocha J.
Alikuwepo pia Mkurugenzi Msaidizi wa Michezo Tanzania, Juliana Yassoda, Balozi Mdogo wa Marekani, Robert K Scott, Rais wa Chama cha  Mpira wa Kikapu (TBF), Mussa Mziya na Makamu wake, Phares Magesa.
Zoezi lilianza saa nne asubuhi kwa hotuba ndefu, zilizowafanya watoto waungue juwa muda wa zaidi ya saa mbili, kabla ya kuanza kupewa mafunzo hayo. Pichani ni watoto waliohudhuria wakiteseka na jua kwa kusikiliaza hotuba ndefu.

Watoto juani

Magessa akizungumza na Scott

Mdau wa michezo,l Athumani Tippo 'Zizziu' kushoto akiwa ma Michael Maluwe wa TBF

Mziya kulia akizungumza na Mama Yassoda. Kushoto ni Magessa

Ona watoto walivyoteseka na jua

Watoto juani

Watoto juani

Meneja Bidhaa wa Coca Cola, akitoa hotuba 'fupi'

Kocha Everist Mapunda akiwa na wachezaji wa Vijana, Anthony Leikanga, Gidibo Tindwa, Sada Ilyas 

Mtoto Felix Tippo kulia akisikiliza hotuba

Mama Yassoda akienda kurusha mpira kuzindua kliniki hiyo

Balozi Scott akitoa maelekezo kwa watoto

Amadou Fall akimsaidia mtoto kurusha mpira kwenye kikapu

Kutoka kulia Hasheem, Masai na Luol 

Kutoka kulia Balozi Scott, Masai na Magesa

Kutoka kulia Luol, Hasheem, Scott, masai na Magessa

Magessa katikati akiwa na Luol kulia na Hasheem kushoto

Kliniki

Masai kushoto na Amadaou

Kliniki

No comments:

Post a Comment