Sunday, August 19, 2012

IKULU:RAIS JAKAYA KIKWETE KATIKA SWALA YA IDD LEO MSIKITI WA KINONDONI MUSLIM:


 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akilakiwa na Meya wa Manispaa ya Kinondoni Mstahiki Yusuph Mwenda wakati alipowasili katika msikiti wa Kinondoni Muslim jijini Dar es salaam kwa ajili ya Swala ya Idd leo Agosti 19, 2012
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akilakiwa  wakati alipowasili katika msikiti wa Kinondoni Muslim jijini Dar es salaam kwa ajili ya Swala ya Idd leo Agosti 19, 2012
 
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa miongoni wa waumini kusikiliza  mawaidha kutoka kwa Sheikh Abubakar Zubeir katika  msikiti wa Kinondoni Muslim jijini Dar es salaam baada ya  ya Swala ya Idd leo Agosti 19, 2012
 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiagana na waumini  katika  msikiti wa Kinondoni Muslim jijini Dar es salaam baada ya  ya Swala ya Idd leo Agosti 19, 2012
Mama Salma Kikwete akipeana mkono wa Iddi na kinamama waliohudhuria Swala ya Iddi leo Agosti 19, 2012  katika msikiti wa Kinondoni Muslim jijini Dar es salaam.Picha na IKULU

No comments:

Post a Comment