Sunday, August 19, 2012

WAZIRI MKUU PINDA ATEMBELEA KIJIJINI CHA MATUMAINI MKOANI DODOMA


 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Askofu Mstaafu wa Jimbo la Dodoma Mhashamu Mathias Isuja katika shehe za kuadhimisha miaka 10 ya Kijiji cha Matumaini cha Dodoma kinacholea watoto yatima, Agosti 18, 2012.
 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na Sister Rosaria ambaye ni mwanzilishi wa Kituo cha kulelea watoto yatima kiitwacho kijiji cha matumaini cha Dodoma, wakati wa sherehe za kuadhimisha miaka 10 ya kituo hicho.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na Askofu Mstaafu wa Jimbo la Dodoma, Mhahamu Mathia Isuja wakiwa katika picha ya pamoja na watoto wa kijiji cha matumaini cha Dodoma kinacholea watoto yatima. Mheshimiwa Pinda alikuwa mgeni rasmi katika sherehe za miaka 10 ya kijiji hicho. Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu

No comments:

Post a Comment