Sunday, August 19, 2012

SALA YA EID KITAIFA ZANZIBAR



 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk. Ali Mohamed Shein, akijumuika na Waislamu, wananchi  na VCiongozi mbali mbali katika Sala ya Iddi El Fitr iliyosaliwa  Kitaifa katika Msikiti wa Mwembeshauri Mjini Zanzibar leo. Wengine ni Makamu wa Pili wa Rais, Seif Sharif Hamad
 Waumini wakiwa kwenye Sala hiyo ya Eid mjini Zanzibar

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk. Ali Mohamed Shein,  akisalimiana na watoto wa Kiislamu walioshiriki katika Sala ya Iddi el Firti iliyowajumuisha waislamu kutoka mitaa mbali mbali katika Mji wa Zanzibar,na kusaliwa Kitaifa katika Msikiti wa Mwembeshauri Mjini Zanzibar leo. (Picha na Ramadhan Othman IKulu).

No comments:

Post a Comment