Friday, August 17, 2012

KAMATI MAALUM YA CCM ZANZIBAR



 Makamu Mwenyekiti wa CCM na Rais Mstaafu wa Zanzibar Dk. Amani Abeid Karume, akiendesha Kikao cha Kamati maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa ya Zanzibar, katika ukumbi wa CCM Kisiwandui mjini Zanzibar,(kushoto) Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, pia Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa Dk. Ali Mohamed Shein. (Picha na Ramadhan Othman,Ikulu)
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,pia Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa Dk. Ali Mohamed Shein,akisalimiana na Viongozi wa CCM, alipowasilik atika viwanja vya Ofisi ya CCM Kisiwandui Mjini Zanzibar, kushiriki katika kikao cha siku moja cha Kamati maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa ya Zanzibar,kilichofanyika leo.
Wajumbe wa Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM
Zanzibar,wakiwa katika kikao cha siku moja chini ya Mwenyekiti wake, Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais Mstaafu wa Zanzibar Dk. Amani Abeid Karume, wakiwa katika ukumbi wa CCM Kisiwandui Mjini Zanzibar, kilipofanyika kikao hicho leo.

No comments:

Post a Comment