Monday, August 27, 2012

LIGI YA SOKA WANAWAKE MKOA WA DAR SAYARI YAICHAPA UZURI QUEENS 4-1


 Beki wa Uzuri Zaituni Idd akiondoa mpira kwenye eneo la hatari huku mshambuliaji wa Sayari, Fatuma Mustapha akimkimbilia. Sayari ilishinda 4-1
Mwanaidi Kika wa Sayari (kushoto) akichuana na Jamila Kassim wa Uzuri

No comments:

Post a Comment