Mwenyekiti
wa Jumuiya ya Madakatari Tanzania, Dk. Steven Ulimboka akipata mapokezi
makubwa wakati alipowasili kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa
Julius Nyerere jijini Dar es Salaam leo, akitokea nchini Afrika Kusini
kwa matibabu baada ya kutekwa na kuteswa na watu wasiojulikana. Picha ya
chini ikimuonesha Dk. Ulimboka akiwa katika hali mbaya baada ya
kuokotwa katika msitu wa Mabwepande, Juni 27. (Picha na Habari Mseto
Blog)
Dk. Ulimboka akiwasili leo kutoka nchini Afrika ya Kusini alikokwenda kwa matibabu.
Wanaharakati wakipaza sauti wakati wa mapokezi ya Ulimboka.
Dk. Ulimboka akiwapungia mkono baadhi ya madaktari wenzake waliofika kumpokea
Mwenyekiti
wa Jumuiya ya Madakatari Tanzania, Dk. Steven Ulimboka akiwa ameshika
ua mara baada ya kuwasili kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius
Nyerere jijini Dar es Salaam jana, akitokea nchini Afrika Kusini kwa
matibabu
Mwenyekiti
wa Jumuiya ya Madakatari Tanzania, Dk. Steven Ulimboka akiwa ameshika
ua mara baada ya kuwasili kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius
Nyerere jijini Dar es Salaam jana, akitokea nchini Afrika Kusini kwa
matibabu baada ya kutekwa na kuteswa na watu wasiojulikana. Picha ya
kulia ikimuonesha Dk. Ulimboka akiwa katika hali mbaya baada ya kuokotwa
katika msitu wa Mabwepande, Juni 27.
Baadhi
ya Wanaharakati pamoja na Madaktari wakilisukuma gari alilokuwa
amepanda Dk Ulimboka mara baada ya kuwasili kwenye Uwanja wa Ndege wa
Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam.
No comments:
Post a Comment