Sunday, August 12, 2012

MICHUANO YA SUP8R; JAMHURI YAICHAPA MTENDE 4-0


 Mshambuliaji wa timu ya Mtende, Jumanne Seif Chikunde akimiliki mpira huku akizongwa na beki wa Jamhuri, Yusuph Makame Juma katika mechi ya michuano ya Sup8r iliyofanyika kwenye Uwanja wa Chamazi jijini Dar es Salaam leo. Jamhuri ilishinda 4-0. (Picha na Habari Mseto Blog).
 Wachezaji wa Jamhuri na Mtende wakiwa wamelala chini baada ya kundi kubwa la nyuki kuvamia uwanja wakati mchezo ukiwa unaendelea

No comments:

Post a Comment