Friday, August 31, 2012

REDD'S MISS KANDA YA MASHARIKI KUWANIA TAJI LA MISS TALENT LEO


Mratibu wa shindano la Redds Miss kanda ya Mashariki 2012, kutoka Kampuni ya Nepa Production & Events, Alexandra Nikitasi, akizungumza na warembo hao wakati wa mazoezi yao ya leo asubuhi.
Washiriki wa Redd’s Miss Kanda ya Mashariki wakifanya mazoezi ya kucheza show katika kambi yao iliyopo Usambara Safari Lodge nje kidogo ya mji wa Morogoro.

No comments:

Post a Comment