Friday, August 31, 2012

WATAALAMU WA MAMBO YA AFYA KUTOKA NCHINI INDIA WAJA TANZANIA KWA ZIARA YA UTALII WA AFYA



Mshauri wa Ubalozi wa India, Kunal Roy akizungumza na waandishi wa habari kuhusu ziara ya kitalii ‘’ Utalii wa  Afya‘’  itakoyofanyika katika ukumbi wa Diamond Jubilee kuanzia tarehe 30 na 31 Agosti. Moja ya lengo likiwa ni kufahamiana kwa wasomi, kuelimishana na kuboresha huduma.
Mkurugenzi wa Shirikisho Kanda ya India Chemba ya Biashara na Viwanda (FICCI), Lt. Vivek Kodikal  (kushoto) akizungumza na waandishi wa habari katika ubalozi wa India uliopo jijini Dar es Salaam, kuhusu ziara ya kitalii ‘’ Utalii wa  Afya‘’  itakoyofanyika katika ukumbi wa Diamond Jubilee kuanzia tarehe 30 na 31 Agosti.
Waandishi wa habari wakifuatilia kwa makini mazungumzo hayo.

No comments:

Post a Comment