Saturday, August 18, 2012

SIMBA YATWAA UBINGWA WA MICHUANO YA SUP8R


 Wachezaji wa timu ya Simba wakishangilia na kombe lao baada ya kuifunga Mtibwa Sugar kwa mabao 4-3 katika mchezo wa fainali ya michuano ya SUP8R uliofanyika leo kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam
 Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Dk. Fenella  Mh. Dk Fenella Mkangala akiwapa medali wachezaji wa Simba. 
 Wachezaji wa Simba wakimbeba kocha wao Suleiman Matola baada ya mchezo
 Mwenyekiti wa Simba, Ismail Aden Rage akiwapungia mkono mashabiki wa Simba.
 Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Dk. Fenella Mh. Dk Fenella Mkangala akimkabidhi kombe nahodha wa Simba, Edward Christopher
 Furaha ya ushindi.

No comments:

Post a Comment