Marquee
Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!
tangazo
Friday, August 17, 2012
STARS YAWASILI DAR
Wachezaji wa Timu ya Taifa, Taifa Stars wakiwa katika Uwanja wa Kimataifa wa Julius Nyerere mara baada ya kuwasili wakitokea Gaborone Botswana ambapo walicheza mechi ya kirafiki na The Zebras. Mechi hiyo iliisha kwa sare ya mabao 3-3.
No comments:
Post a Comment
Newer Post
Older Post
Home
View mobile version
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment