Friday, August 17, 2012

STARS YAWASILI DAR


 Wachezaji wa Timu ya Taifa, Taifa Stars wakiwa katika Uwanja wa Kimataifa wa Julius Nyerere mara baada ya kuwasili wakitokea Gaborone Botswana ambapo walicheza mechi ya kirafiki na The Zebras. Mechi hiyo iliisha kwa sare ya mabao 3-3.

No comments:

Post a Comment