Friday, August 17, 2012

MABONDIA SANDE KIZITO NA RAMADHANI SHAURI WAONESHWA MKANDA WA IBF AFRICA WATAKAOGOMBANIA IDI PILI


Bondia Ibrahimu Class 'King Class Mawe' akitunishiana misuri na Sako Mwaisege 'Dunga wakati wa utambulisho wa mpambano wao leo mbele ya waandishi wa habari picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com
Bondia Sande Kizito wa Uganda kushoto akitunishiana misuri na RAmadhani Shauri wakati wa utambulisho wa mpambano wao wa ubingwa wa IBF Africa utakaofanyika siku ya Idi pili katika ukumbi wa Diamond Jublee picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com.blogspot.com
Bondia Ibrahimu Class 'King Class Mawe' akitunishiana misuri na Sako Mwaisege 'Dunga wakati wa utambulisho wa mpambano wao leo mbele ya waandishi wa habari picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com
Mkurugenzi wa Kitwe General Traders, Lucas Rutainirwakatikati AKIZUNGUMZA NA WANA HABARI LEO KUHUSU MPAMBANO HUO PICHA NA www.superdboxingcoach.blogspot.com
Ramadhani Shauri akizungumza katika mkutano huo
Mkurugenzi wa Kitwe General Traders, Lucas Rutainirwakatikati akiwa ameshika mkanda wa ubingwa wa IBF Africa atakaepewa bondia atakaeshinda katika mpambano huo kushoto ni Sande Kizito wa Uganda na Ramadhani Shauri wa Tanzania picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com
Mkurugenzi wa Kitwe General Traders, Lucas Rutainirwakatikati akiwa ameshika mkanda wa ubingwa wa IBF Africa atakaepewa bondia atakaeshinda katika mpambano huo kushoto ni Sande Kizito wa Uganda na Ramadhani Shauri wa Tanzania picha  pamoja na Rais wa IBF Africa Onesmo Ngowi na makocha wa wachezaji hawona www.superdboxingcoach.blogspot.com

No comments:

Post a Comment