Friday, August 24, 2012

UZINDUZI WA SKYLIGHT BENDI ULIVYOBAMBA NDANI YA GIRAFFE OCEAN VIEW, DAR


Mchekeshaji, Steve Nyerere akiongoza jahazi la Skylight bendi huku pembeni akiwa ni mshreheshaji wa shughuli hiyo Beny Kinyaiya. Hii ilikuwa ni  katika uzinduzi wa bendi hiyo uliofanyika katika hoteli ya Graffe Ocean View  jijini Dar.
Mchekeshaji, Steve Nyerere akionyesha manjonjo yake. Anakwambia, "Mdomo biashara ndiyo maana kila mtu amepewa kipaji chake cha kutafuta hela.
Wapiga gitaa wa Skylight bendi, wakishambulia jukwaa.
sehemu ya mashabiki wa bendi hiyi waliojitokeza kwa kuiunga mkono bendi yao.

No comments:

Post a Comment