Friday, August 24, 2012

Mwanaamina achukua fomu ya kugombea Uenyekiti UVCCM Taifa





Kada wa Chama cha Mapinduzi CCM, Mwanaamina Haji Farouk (kulia) akipokea fomu kutoka kwa Karani Mafunda Ramadhan Sudi, ya kuomba kugombea nafasi ya Mwenyekiti wa UVCCM Taifa.Hafla hiyo ilifanyika kwenye Ofisi za Jumuia hiyo za Mkoa wa Kusini Pemba Mjini Chake chake Kisiwani Pemba hapo jana, ambapo shamra shamra za uchukuaji wa fomu zimeanza.

No comments:

Post a Comment