Thursday, September 6, 2012

AIRTEL YAMTANGAZA AY KUWA BALOZI WAKE MPYA KWA MWAKA 2012/2013


 Meneja Uhusiano wa Airtel Tanzania Jackson Mmbando (kati) akimtangaza  msanii Ambwene Yessayah* (*AY) (shoto) kuwa Balozi wa Airtel Tanzania kwa Upande wa wasanii nchini Tanzania kwa mwaka 2012 -2013, AY sasa atashirikiana na Airtel katika  shughuli zote za kijamii za Airtel  nchini kwa lengo la kufaidisha taifa letu hasa sekta ya ELIMU. Kulia ni Meneja  huduma kwa jamii wa Airtel Bi Hawa Bayumi. Hafla ya hiyo ilifanyika katika  ofisi kuu za Airtel jijini Dar es salaa.
Meneja Uhusiano wa Airtel Tanzania Jackson Mmbando (shoto) akimkabidhi msanii Ambwene Yessayah (AY) simu aina ya Samsung Galaxy mara baada ya kumtangaza AY kuwa Balozi wa Airtel kwa Upande wa wasanii nchini Tanzania, AY sasa kushiriki shughuli zote za kijamii za Airtel nchini. Katikati ni Meneja huduma kwa jamii wa Airtel Bi Hawa Bayumi. Hafla ya hiyo ilifanyika katika ofisi kuu za Airtel jijini Dar es salaa.

No comments:

Post a Comment