Thursday, September 6, 2012

UMOJA VILABU VYA WAANDISHI WAKUTANA JIJINI DAR LEO.


Wajumbe wa Mkutano Mkuu UMOJA wa Vilabu  vya Waandishi wa Habari Tanzania (UTPC) wakisimama kwa dakika moja kumuombea Marehemu Daudi Mwangosi aliefariki katika Vurugu za Chadema na Polisi mkoani Iringa.

 Baadhi ya wajumbe wa mkiutano huo.
Mwenyekiti wa Klabu ya Waandishi wa Habari Mkoa wa Lindi ambae pia ni mwakilishi wa blog hii Mkoani Humo akiwa na Katibu Muhtasi wa Utpc Muda Mfupi kabla ya kuanza kwa Mafunzo ya Uongozi na Utawala kwa Viongozi wa klabu za Waandishi wa Habari nchini.


Rais wa kwanza wa UTPC, Bw Ulimboka Mwakiriri (katikati) akiwa na Mwenyekiti wa Tanga Press Club, Hassan Hashim na Mjumbe wa Mbeya Press Club,  Esther Macha, wakibadilishana mawazo nje ya Ukumbi wa Lion Hotel jijini Dar es Salaam leo.

No comments:

Post a Comment