Saturday, September 22, 2012

BONDIA THOMASI MASHALI ACHUKUA SEHEMU YA FEDHA YAKE KWA AJILI YA MAANDALIZI YA MPAMBANO WAKE

RAIS wa -TPBO YASSIN ABDALLAH -USTAADH 'kushoto' akimkabizi bondia Thomasi Mashali sehemu ya fedha kwa ajili ya malipo ya kujiandaa na mpambano wake wa ubingwa wa Afrika Mashariki dhini ya Med Sebyala kutoka Uganda mpambano utakaofanyika October 14 picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com
                            
Bondia Thomasi Mashali akitia saini ya kuchukua kiasi cha pesa kwa ajili ya maandalizi ya mpambano wake wa kugombania ubingwa wa Afrika Mashariki October 14 picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com

Thomasi Mashali akiwa na mkanda wake wa Ubingwa wa Taifa unaotambulika na TPBO

No comments:

Post a Comment