Tuesday, September 11, 2012

GEMS Cambridge International Yazinduliwa Rasmi


 School Photo
 School Principal Ms. Jill Roberts joins Year 4 students in an art class
Nairobi, Kenya
Shule ya GEMS Cambridge International, ambayo imewekeza Dola million thelathini (USD 30million), inatarajiwa kuwa kiongozi kwa taasisi ya elimu hapa Africa Mashariki imefunguliwa rasmi wiki hii. Shule hii inamilikiwa na kundeshwa na GEMS Education ambayo inayo mtandao wa shule bora za kimataifa kote duniani.


Bw.Sunny Varkey, Mwanzilishi na Mwenyekiti wa GEMS Education alisema, "Hii ni muda wa kusisimua kwa sababu kwa mara ya GEMS imeingia soko la Afrika Mashariki. Mtandao wa shule za GEMS zinapatikana nchini ya Uingereza, Americani, China, Jordan, UAE, Saudia Arabia na nchi ha India. Hapa Afrika tumewakilisha shule ya GEM nchi ya Misri na ni furaha kubwa kuzindua shule hii ya GEMs jijini wa Nairobi, Kenya. Tutaunganisha rasilimali mbalimbali za elimu kutoka mtandao wetu wa kimataifa ya Gems kuiboresha shule hii ya kimataifa Kenya kuwa shule bora sana hapa Kenya na Afrika Mashariki, kwa sababu elimu bora huathari si mtoto kupokeaji elimu tu, ila pia familia ya mtoto na jamii kwa jumla "


Mkuu wa Shule ya Gems Cambridge International, Jill Roberts alisema, "mitaala yetu inasisitiza umuhimu wa mtazamo wa kitaifa na kimataifa. Katika dunia ya leo, tunahitaji kuangalia kwa siku zijazo na kuwaandaa wanafunzi wetu kwa ajili ya maisha, uwezo wao kuwa huru, kuwajibika, kujiamini na ushujaa. Mimi aaamini katika kuendeleza maadili na hisia ya uadilifu na kiburi. Zaidi naamini katika kukuza, kujali, nidhamu na mazingira ya furaha ya kusomea, matarajio na mafundisho ya juu, pamoja na shughuli mbalimbali za ziada kwa mtaala, kusababisha ubora wa kitaaluma na mtoto kutimia. Mimi nataka wanafunzi wetu sio tu, ila wazidi uwezo wao!”.

Shule ya GEMS itaataandaa wanafunzi kwa Cheti cha IGCSE (International General Certificate of Secondary Education) Cheti cha AS (Advanced Secondary) na Kimataifa Mkuu wa Elimu ya Sekondari (IGCSE), Zaidi ya hayo shule itatoa Edexcel BTEC Level 2 na 3 katika sifa mbalimbali ya masomo ya ufundi.


Shughuli zote zinasisitiza maadili ya GEMS ambayo ni Uraia Duniani, Maadili ya Dunia, Uongozi na maono ya mbele. Misingi wa maadili haya ni kuirmaisha umuhimu shule yetu huweka katika maeneo ya mtazamo wa kimatiafa and heshima kwa utamaduni mbalimbali na imepenyeza masuala yote ya maisha ya kila siku ya hapa shuleni.


Shule ya Gems, imetengeneza mabweni ya washichan and wavulana na katika mwakwa huuwa kwanza wa uendeshaji, watapoke watoto kwa mabweni yao kutoka Mwaka 3 – Mwaka 9.

Shule hii imo katikaki wa jiji wa Nairobi, sehemu ya Karen, inayo kampasi ya kuvutia na hutoa mziningira ya kuhochea ya kusomea. Sehemu mbalimbali za shule zimeunganishwa na jengo la utawalam na hutoa viwango vya juu vya usalama.

Vifaa vya shule ni: Sehumu ya 25m ya kuogelea, kiwanja ya 400m za mbio, kiwanja na nyavu vya kuchezea kriketi, viwanja mbalimbali vya michezo vya ndani na nje na ukumbi wa watoto wa miaka tofauti. Jengo la sayansi inavyo vifaa vikamilifu vya sayansi, maabara 5 vya kompyuta (ICT) inayopatikana katika maktaba za shule. Sehemu ya Middle School and Senior School zinazo maktaba yao binafsi.

No comments:

Post a Comment