Saturday, September 8, 2012

KAMATI YA UTEKELEZAJI YA UVCCM TAIFA YAWAHOJI WAGOMBEA WANAFASI MBALIMBALI MJINI DODOMA.


Daudi  Msungu (KUSHOTO)Mgombea nafasi ya makamo mwenyekiti  UVCCM (bara)  Matulanga (wapili kushoto)  Mgombea wa nafasi ya uwenyekiti Mkoa wa Dar es Salaam Lihami na Mgombea mwengine kutoka Dar wakijadiliana jambo nje ya ukumbi wa White House makao makuu ya Chama hichomjini Dodoma leo.
Wagombea mbalimbali wa Jumuiya ya Umoja wa Vijana  UVCCM .

No comments:

Post a Comment