Tuesday, September 25, 2012

MKUTANO WA LAPF KUANZA ARUSHA



Mkurugenzi mkuu wa Lapf Eliud Sanga pichani katikati akizungumza na vyombo vya habari kuelezea mkutano ulionza leo wa wanachama wa mfuko huo wa jamii ambapo mkutano huo utafungwa kesho na Rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania Jakaya Mrisho Kikwete na unafanyika kwenye ukumbi wa AICC jijini Arusha kwa siku mbili kushoto kwake ni afisa uhusiano wa mfuko huo Endruw kueyana na kulia ni afisa masoko Mablangeti. (Picha na Mahmoud Ahmad Arusha)

No comments:

Post a Comment