Tuesday, September 25, 2012

SERIKALI YA CHINA YAKABIDHI KOMPYUTA NA VITABU KWA MAKTABA YA TAIFA (TLSB)



Mkurugenzi Mkuu wa Maktaba ya Taifa (TLSB), Dk.  Alli Mcharazo (kushoto) akifanya makabidhiano na Mwakilishi wa serikali ya China (kulia), Ling U  baada ya kusaini makubaliano katika hafla iliyofanyika jijini Dar es salaam leo, ambapo Serikali ya watu wa China wamekabidhi vitabu vya kusomea, kompyuta na makabati ya kuwekea vitabu katika maktaba ya  taifa ya vitabu nchini (TLSB). (Picha na Mwanakombo Jumaa MAELEZO)

Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Selestine Gisimba akijaribu kutumia moja ya kampyuta zilizokabidhiwa na Serikali ya watu wa China kwaajili ya matumizi ya maktaba kuu ya taifa nchini leo. (Picha na Mwanakombo Jumaa- MAELEZO).

No comments:

Post a Comment