Thursday, September 20, 2012

SPIKA WA BUNGE LA AFRIKA MASHARIKI AMTEMBELEA RAIS KIKWETE IKULU, DAR ES SALAAM




Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipokea nakala ya machapisho mbalimbali ya Bunge la Afrika Mashariki toka
kwa Spika wa Bunge hilo Bi. Margaret Banbtonbg Zziwa alipomtembelea Ikulu Jumatano Septemba 19, 2012. PICHA NA IKULU

No comments:

Post a Comment