Saturday, September 22, 2012

UZINDUZI WA BIA YA FARU WAFANA JIJINI MWANZA


Meneja wa Matukio wa TBL Kanda ya ziwa Erick Mwayela (kushoto) na Meneja wa bia mpya ya Faru Kabula Nshimo, wakigongesha chupa na timu ya promosheni ya bia hiyo wakati wa uzinduzi wake jijini Mwanza jana. (Na Mpiga Picha Wetu)
 Meneja wa Bia mpya ya Faru Kabula Nshimo akionesha chupa ya bia mpya ya Faru
Meneja wa Matukio wa TBL Kanda ya Ziwa Erick Mwayela (kushoto) akimkabidhi Tshirt mshindi wa bahati nasibu, Ally Abdurahman iliyochezeshwa wakati wa uzinduzi wa bia mpya ya Faru jijini Mwanza jana. (Na Mpiga Picha Wetu)

No comments:

Post a Comment