Wednesday, September 12, 2012

Waziri Mkuu Mizengo Pinda Azindua Mradi wa ufugaji wa Nyuki Bugulula wilayani Geita

 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizindua mradi wa ufugaji nyuki wa Bugulula wilayani Geita akiwa katika ziara ya mkoa wa Geita Septemba 10, 2012.
 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akikagua mradi wa ufugji nyuki wa kijiji cha Bugulula baada ya kuufungua Septemba 10, 2012. Kushoto ni Mkuu wa mkoa wa Geita, Magalula Maglula.
Waziri Mkuu,Mizengo Pinda akizungumza na wanawake wa kijiji cha Bugulula baada ya kufngua mradi wa ufugaji nyuki akiwa katika ziara ya mkoa wa Geita, Septemba 10, 2012.Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu

1 comment:

  1. Jamani mwenzenu ndo naanza kufuga nyuki sasa sijui kama mradi huu unafaida

    ReplyDelete