Wednesday, October 24, 2012

AMRI MASARE WA VIWANJANI BLOG APATA TUZO

Amri Massare (Maximo) MMILIKI WA BLOG YA http://viwanjani.blogspot.com/ AKICHUKUA MKWANJA WAKE BAADA YA KUIBUKA MSHINDI WA UTOAJI WA TAHARIFA ZA MICHEZO YA COPA COCA COLA ILIYOMALIZIKA KATIKATI YA MWAKA HUU MASSARE NI MTANGAZAJI WA RADIO CAPITAL NA KIPINDI CHA TAMASHA LA MICHEZO KINACHORUSHWA NA ITV KILA IFIKAPO  MWISHONI MWA WIKI

Washindi wakiwa katika picha ya pamoja na viongozi 

Washindi wakiwa katika picha ya pamoja na viongozi 


No comments:

Post a Comment