Wednesday, October 24, 2012

TIGO TUCHANGE YAANZA KUSAIDIA Shule ya msingi Ruhuji kwa wilaya za Njombe,Makete,Ludewa na Wangi'ngombe yaliofanyika 22 Oktoba.

Taswira ya tafrija ya makabidhiano ya madawati 680 kutoka kwa Hassan Maajar Trust na Tigo, yalitolewa Shule ya msingi Ruhuji kwa wilaya za Njombe,Makete,Ludewa na Wangi'ngombe  yaliofanyika 22 Oktoba.
 Mgeni rasmi, Kapteni mstaafu Asery Msangi alikabidhi madawati kwa maDC wa wilaya hizo tano na kuwashukuru Tigo na Hassan Maajar Trust (HMT)  kwa projekt hii ya madawati iliyochangiwa na 'Tigo Tuchange' . Kutoka HMT alikuwepo Mkurugenzi Zena Maajar Tenga na Kutoka Tigo Meneja Mauzo mkoa wa Iringa Ladislaus Karlo
WADAU MBALIMBALI WAKIWA KATIKA PICHA YA PAMOJA BAADA YA KUKABIDHI MADAWATI KATIKA BAADHI YA SHULE

No comments:

Post a Comment