Wednesday, October 17, 2012

BAADHI YA WAFUASI WA SHEIKH PONDA WAKAMATWA WAKIANDAMANA JIJINI MAENEO YA KITUO KIKUU CHA POLISI KATI



Mwandamanaji mwingine akipelekwa katika kituo kikuu cha polisi kati jijini Dar es salaam leo mchana mara baada ya kukamatwa akiandamana
Mmoja wa wafuasi wa kikundi cha waislamu wenye imani kali akidhibitiwa na polisi mara baada ya kukamatwa leo katika kituo kikuu cha polisi Kati wakijaribu kuandamana ili kushinikiza kiongozi wao Katibu wa Taasisi za Kiislamu Shekh Ponda  Issa Ponda kuachiwa na jeshi la polisi mara baada ya kukamatwa jijini Dar es salaam kwa kudaiwa kusababisha vurugujijini Dar es salaam.
Polisi wakiwa tayari kwa kudhibiti maandamano hayo katika o kikuu cha Reli karibu na polisi kati jijini Dar es salaam leo mchana. Picha na Haki Ngowi Blog

No comments:

Post a Comment