Monday, October 22, 2012

CUF NGANGARI YAFANYA MKUTANO WA OPERESHENI MCHAKA MKCHAKA HADI 2015 YA CUF YAENDELEA KUPORA VIONGOZI WA CHADEMA. Waliokimbilia ADC nao warejea kwa kishindo.


Makamu wa Kwanza wa Rais Zanzibar na Katibu Mkuu wa CUF Maalim Seif Sharif Hamad akimkabidhi shati la chama hicho kijana Joseph Christian ambaye alikuwa katibu mwenezi wa CHADEMA tawi la Chuo Kikuu Dodoma. Joseph amekihama CHADEMA na kujiunga na CUF kwenye mkutano wa hadhara huko Buguruni jijini Dar es Salaam.Picha na Salmin Said-Ofisi ya Makamu wa Kwanza wa Rais Zanzibar
Baadhi ya wafuasi wa chama cha wananchi CUF wakifuatilia kwa makini mkutano wa Chama hicho uliofanyika Buguruni jijini Dar es Salaam.
 Makamu wa Kwanza wa Rais Zanzibar na Katibu Mkuu wa CUF Maalim Seif Sharif Hamad akiwahutubia wafuasi ya wapenzi wa chama hicho katika viwanja vya Buguruni jijini Dar es Salaam.
 Aliyekuwa Mkurugenzi wa ulinzi na usalama wa ADC Bw. Al-Badawi akizungumza katika mkutano wa hadhara wa CUF baada ya kuamua kurejea CUF akitokea ADC. Kabla ya kwenda ADC na baadae kurejea CUF Al-Badawi alikuwa mwenyekiti wa CUF Wilaya ya Temeke

No comments:

Post a Comment