Tuesday, October 23, 2012

JK ALIVYOFUNGUA MKUTANO WA UVCCM DODOMA LEO.


Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Rais Jakaya Mrisho Kikwete akifungua mkutano mkuu wa UVCCM, mjini Dodoma leo.
Meza kuu ikiongozwa na Rais Kikwete ambaye ni Mwenyekiti wa CCM taifa wakati alipofungua mkutano Mkuu wa Umoja wa Vijana wa kuchagua viongozi wao.
Nderemo baada ya Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Rais Jakaya Mrisho Kikwete kuwasili ukumbi wa Chuo cha Mipango mjini Dodoma kufungua Mkutano Mkuu wa nane wa Jumuiya ya Vijana wa chama tawala leo.

No comments:

Post a Comment