Friday, October 12, 2012

LINDI MOSHI MWEUPE UNASUBILIWA! Ni mze Mtopa au Gwaja? Kuwa Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Lindi.


Wajumbe wa mkutano mkuu CCM Mkoa wa Lindi wakiwa tayari kupiga kura kumchagua Mwenyekiti wa chama hicho Mkoa, ambapo mchuano mkali upo kati ya Mze Mtopa na Gwaja, Matokeo ya Uchaguzi tutawaletea mara baada ya kutangazwa na Msimamizi mkuu Mhe Membe

Yakisubiri kufanya kaziyake.
Mjumbe wa Halmashauri kuu ya CCM ambae pia ni Waziri wa Mambo ya Nchi za Nje na Ushirikiano wa Kimataifa akifungua Mkutano Mkuu wa Uchaguzi CCM Mkoa wa Lindi leo katika ukumbi wa Yongolo wilayani Ruangwa. Picha na Abdulaziz video

No comments:

Post a Comment