Meneja
wa kinywachi cha bia ya Balimi Extra Edith Bebwa, akizungumza na
waandishi wa habari kuhusu kuzinduliwa kwa mashindano ya mitumbwi
yanayofanyika Kanda ya Ziwa kila mwaka, ambapo kwa mwka huu yanatarajiwa
kuanzia Mkoani Kigoma Octoba 20, kulia ni Meneja wa Masoko wa TBL Fimbo
Butalla.
Meneja
wa masoko wa TBL Fimbo Butalla, akizungumza na waandishi wa habari
kuhusu udhamini wa mashindano hayo na zawadi zitakazotolewa kupitia
kinywaji chake hicho cha Balimi, ambapo alieleza kuongezeka kwa zawadi
kwa washindi na washiriki kwenye ngazi hizo za mikoa.
Fimbo Butallah akifafanua jambo kwa waandishi.
Edith akijibu maswali ya waandishi wa habari.
Zawadi za washindi kwa ngazi ya Mkoa na fainali ni kama inavyoonekana hapo.
No comments:
Post a Comment