Friday, October 26, 2012

NMB YAKABIDHI MADAWATI-KILOSA

Meneja wa NMB Kanda ya Mashariki Bw. Ole Loibanguti (wa pili kulia) akikabidhi madawati 85 yenye thamani ya shilingi milioni 5 kwa Msaidizi wa Mkurugenzi wa Wilaya ya Kilosa Bw. Ayoub Kambi. Wakishuhudia kutoka kushoto ni Mtendaji Kata ya Mvumi Bw. Aloyce Isdory, Mwalimu Mkuu wa Shule ya Msingi Mvumi Bw. Evance Urassa, Afisa Elimu ya Msingi wa wilaya Bw. Rashid Chayeka na Meneja wa NMB Kilosa Bw. Lameck Matemba, Mkoani Morogoro wiki hii.
 Wanafunzi wa Shule ya Msingi Mvumi wakiwa wamekaa kwenye madawati 85 yenye thamani ya shilingi milioni 5 waliyokabidhiwa na Meneja wa NMB Kanda ya Mashariki Bw. Ole Loibanguti(hayupo pichani) wilayani Kilosa, Morogoro.

No comments:

Post a Comment