Friday, October 26, 2012

KAMPUNI YA TELUS YAKABIDHI LAPTOP KWA SHULE YA MSINGI MTONI



 Mwalimu Mkuu wa Shule ya Msingi Mtoni kwa Mama Mery, Omar Kitwana akionyesha Laptop aina ya Dell, aliyokabidhiwa  na Mwakilishi wa kampuni ya simu ya TELUS ya Vancouver Canada, Moe Tully (hayupo pichani) kwa ajili ya kuwaendeleza wanafunzi wa shule hiyo katika teknolojia ya mawasiliano makabidhiano hayo yamefanyika shuleni hapo (Picha na Abdallah Khamis)
Wanafunzi na walimushule ya msingi Miburani iliyopo Temeke jijini Dar esSalaam, wakiwa pamoja na wafadhili wao wawakilishi wa kampuni ya Simu ya TELUS yenye maskani yake Vancouver nchini Canada,mara baada ya kukabidhiwa laptop moja kwa ajili ya kuendeleza teknolijia ya mawasiliano shuleni hapo jana (picha na Abdallah Khamis)

No comments:

Post a Comment