Friday, October 26, 2012

PAMBANO LA YANGA NA POLISI MOROGORO KATIKA PICHA


 Kikosi cha Yanga kikiwa katika picha ya pamoja kabla ya pambano lao na Polisi Morogoro katika mchezo wa Ligi Kuu ya Soka Tanzania Bara uliofanyika kwenye Uwanja wa taifa jijini Dar es Salaam. Yanga ilishinda 3-0. (Picha na Habari Mseto Blog)
 Kikosi cha timu ya Polisi Morogoro
 Golikipa wa Yanga, Ali Mustafa akiwa katika harakati za kuokoa moja ya hataroi zilizoelekezwa langoni mwake. Kulia ni mshambuliaji wa Polisi Morogoro, Bantu Admin
 Paschal Maige akichuana na beki wa Yanga, Shadrack Nsajigwa
 Nsajigwa akimiliki mpira huku akizongwa na mchezaji wa Polisi Moro, Keneth Masumbuko

No comments:

Post a Comment