Wednesday, October 17, 2012

WANAFUNZI WA SHULE ZA MSINGI WAELIMISHWA JUU YA USAFI WA MIKONO WAKATI WA MAAZIMISHO YA SIKU YA KUNAWA MIKONO DUNIANI



Mmoja ya maofisa kutoka Kampuni inayotengeneza sabuni ya Protex akiwaelekeza wanafunzi jinsi ya kunao mikono yao
Wanafunzi wa shule mbalimbali za msingi wakinyoosha mikono juu kwa ajili ya kujubu maswali waliyokuwa wakiulizwa

Wanafunzi wakimpa tano mmoja wa maofisa wa kampuni hiyooo



Wanmafunzi wakifundishwa jinsi ya kunawa mikono na kuiacha kuwa safi na salama wakati wowote

WANAFUNZI WAKIWAONESHA WENZAO JINSI YA KUNAWA BAADA YA KUJIFUNZA KUNAWA MIKONO KWA JIA YA USAFI

No comments:

Post a Comment