Monday, October 15, 2012

WEMA NA ANT EZEKIEL WAOMBA RADHI KWA KUVAA NUSU UCHI


Wema Sepetu (katikati) akizungumza na waandishi wa habari kwenye ukimbi wa idara ya habari maelezo jijini Dar es Salaam leo kuhusu kuwaomba radhi watanzania kwa niaba yake na msanii mwenzake Ant Ezekiel kuhusiana na tukio la wao kupigwa picha zilizowaonyesha nusu uchi wakati wakijiachia katika Tamasha la Serengeti Fiesta lilipofanyika mkoani Dodoma. Kulia ni Msanii wa Bongo Movie Ant Ezekiel na kushoto Katibu Mkuu wa TAFF Wilson Makubi.
Wema Sepetu kushoto na Aunt Ezekiel kulia
Nahizi ndizo picha walizopiga hadi leo wanajutia na kuwaomba radhi watanzania, picha ya Juu ni Anti Ezekiel na Picha ya Chini ni Wema Sepetu.
Picha ya Wema Sepetu.

No comments:

Post a Comment