Monday, October 15, 2012

TIMU YA JAMHURI PEMBA YAPIGWA 3-1 NA MAFUNZO YA UNGUJA.


Mlinzi wa Mafunzo Ali Juma (kushoto) akiokoa goli la wazi kutoka kwa mshambuliaji wa Jamhuri, Bakari Khamis baada ya kipa  Halid Mahadhi wa mafunzo kuanguka chini, kwenye mpambano wa ligi kuu ya Grand Malt ya zanzibar kwenye uwanja wa Amaan jana kati ya Mafunzo ya Unguja na Jamhuri ya Pemba. Mafunzo iliichabanga Jamhuri mabao 3 - 1.
Mshambuliaji wa Jamhuri, Bakari Khamis (katika) akichungwa vibaya na walinzi wa Mafunzo.
Kipa wa Mafunzo, Halid Mahadh akiokoa hatari karibu na mshambuliaji wa Jamhuri, Samir Seif. Picha zote na Martin Kabemba

No comments:

Post a Comment