Monday, October 1, 2012

Zitto Kabwe- Karatu Mjini Jana: Taarifa ya Ngwilizi, Mabilioni ya Uswisi na ulazima wa CHADEMA kuongoza nchi


 Mbunge wa Kigoma kaskazini Mheshimiwa Zitto Kabwe akiunguruma kwenye mkutano wa hadhara Karatu leo mbele ya mamiiaa ya wanachama wa chadema
 Sehemu ya Umati mkubwa uliojitokeza kwenye mkutano wa hadhara ambao mbunge wa Kigoma kaskazini Zitto Kabwe Aliunguruma Leo.Picha Zote na Zitto Kabwe(MB)
---
Nasubiri kwa hamu kubwa mkutano wetu wa leo hapa Karatu. Jimbo ambalo CHADEMA imeliongoza vipindi 4 mfululizo. Ngome yetu haswa.
Nitazungumzia;
  • Taarifa ya Kamati ya Ngwilizi (Kutaka taarifa iwekwe Wazi)
  • Hoja ya mabilioni yaliyofichwa Uswisi na
  • Ulazima wa kuindoa CCM madarakani mwaka 2015 ili CHADEMA iongoze nchi na ktutokomeza umaskini kwa kupambana na ufisai na kukuza uchumi wa vijijini.
Zitto Kabwe(ZZK) MB
Karatu Mjini

No comments:

Post a Comment