Thursday, November 8, 2012

BOBAN NA JUMA NYOSSO WAIBUKIA TIMU MPYA BAADA YA KUSIMAMISHWA SIMBA


Mshambuliaji wa zamani wa Yanga, Iddi Moshi, akimtoka mdogo wake, Haruna Moshi, kiungo aliyesimamishwa Simba SC katika mazoezi ya timu ya Al Nasri kwenye Uwanja wa shule ya msingi Muhimbili, Dar es Salaam jioni ya leo. 

Mshambuliaji wa zamani wa Yanga, Iddi Moshi, akimtoka mdogo wake, Haruna Moshi, kiungo aliyesimamishwa Simba SC katika mazoezi ya timu ya Al Nasri kwenye Uwanja wa shule ya msingi Muhimbili, Dar es Salaam jioni ya leo. Kwa Hisani ya Bin Zubeiry Blog

Kiungo wa Coastal Union, Mohamed Bins Slum akiwatoka wachezaji wenzake wa Al Nasri, Hussein Kaburu kushoto na Nizar Dunga kulia. Pembeni kabisa kulia ni Juma Nyosso akiwa tayari kutoa msaada kwenye Uwanja wa shule ya msingi Muhimbili, Dar es Salaam jioni ya leo. 

Beki aliyesimamishwa Simba SC, Juma Nyosso akipiga mpira kichwa mbele ya mshambuliaji wa zamani wa Simba SC, Mohamed Kijuso katika mazoezi ya timu ya Al Nasri kwenye Uwanja wa shule ya msingi Muhimbili, Dar es Salaam jioni ya leo. 

Hussein Kaburu akimtoka Bin Slum, kulia ni Dunga

Boban akitoa pasi mbele ya Dunga na Diata

Mohamed Bin Slum akimiliki mpira mbele ya Hussein Kaburu na Juma Nyosso

Juma Nyosso akiosha

No comments:

Post a Comment